Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa
Month: May 2024
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi
Waafrika Kusini leo Jumatano wanapiga kura katika uchaguzi wa kihistoria ambao kwa mara ya kwanza umeruhusu wagombea huru tangu mfumo wa ubaguzi wa rangi kumalizika
Njombe. Wakati uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa ukifanyika leo Mei 29,2024 wajumbe na makada wa chama hicho
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha vipaumbele nane vya Wizara ya Ujenzi itakavyotekeleza katika bajeti mwaka 2024/25. Akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya
Na.Alex Sonna-TANGA Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC), kinashiriki maonesho ya kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024 yaliyoanza tarehe 25 hadi 31
Wizara ya Ujenzi imeanza utaratibu wa kushirikisha sekta binafsi kwa utaratibu wa ubia (PPP)katika kutekeleza miradi ya miundombinu. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent
Dar es Salaam. Licha ya dhamira ya Serikali kushirikiana na sekta binafsi katika utoaji wa huduma ya vivuko kati ya Kigamboni na Magogoni, huenda mpango
Britain’s ot Talent ilikumbana na usumbufu usiotarajiwa wakati wa matangazo yake ya moja kwa moja huku muhtasari wa majaji ulipopokelewa na shangwe kutoka kwa umati
Leo unafanyika uchaguzi mkuu wa Afrika Kusini, huku ikitabiriwa kuwa chama tawala cha African National Congress (ANC), kinaweza kupata chini ya asilimia 50 ya kura