BAADA ya kudumu misimu saba ndani ya Simba, nahodha wa timu hiyo, John Bocco amewaaga mashabiki na mastaa wenzake wa timu hiyo kwa kuweka wazi
Month: May 2024
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Bw Ludovick Nduhiye amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea
PAZIA la msimu wa 2023/2024 wa Ligi Kuu Bara limehitimishwa rasmi baada ya vita ya vuta nikuvute huku kila timu ikivuna ilichopanda. Yanga imetwaa ubingwa
Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo akipata maelezo kwa Afisa Uhusiano wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)wakati alipotembelea
*Ugunduzi umetokana na yeye mwenyewe kuwa na changamoto ya usikivu hafifu Na Chalila Kibuda ,Michuzi TV TangaMWALIMU wa VETA Kigoma Innocent Maziku agundua kifaa cha
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania May 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post
Zaidi ya shilingi milioni 200 zinatarajiwa kukusanywa na kufanikisha ujenzi wa ukuta wa shule ya sekondari ya wasichana ya Songea kufuatia michango ya wanafunzi waliowahi
Kaya yetu si ya watata wala haihitaji utata, kuringa, na kuringishiana ujuha. Ni kaya ya mafyatu. Hii inatosha. Siku hizi, kila fyatu anataka aitwe ama