Dar es Salaam. Safari ya Miaka 20 ya mburudishaji Carlos Bastos Mella ambaye yupo nyuma ya maeneo mengi ya burudani jijini Dar es Salaam, ameshauri
Month: May 2024
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza imeridhishwa na ukamilishwaji wa mradi wa maji wa Butimba na ufanisi wake.
KITENDO cha Simba kudondosha ubingwa mara tatu mfululizo kimemuibua staa wa zamani wa Yanga, Abeid Mziba kuhoji usajili unaofanywa na viongozi wa klabu hiyo una
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema Serikali inafanya mageuzi ya mfumo wa elimu ili kuendana na mahitaji
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Tanzania, Mhe. Prof. Adolf Mkenda Jumatatu ya tarehe 27.05.2024, Ametembelea Banda la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar na
BAADA ya kujihakikishia kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao, Coastal Union imesema haitakubali kuondokewa kirahisi na nyota wake walioonyesha viwango bora, bali
Raia wa Afrika Kusini wapatao milioni 1.6 waliokidhi vigezo vya kupiga kura mapema wameanza kufanya hivyo leo chini ya kiwingu cha wasiwasi wa kuvurugika usalama
Dar es Salaam. Wazazi nchini wametakiwa kuacha kuwaogopa watoto wao na badala yake wanaoaswa kuwafanya marafiki ili wafahamu kila changamoto inayowakabili. Kauli hiyo imetolewa na
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma. Serikali imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imetoa leseni kwa kampuni mbili za kuchakata taarifa za mikopo, kampuni
‘AJE yeyote’. Ni kauli na tambo za Biashara United ikieleza kuwa tayari kukabiliana na mpinzani yeyote wa Ligi Kuu katika mchezo wa mchujo (play off)