Zaidi ya watu 2,000 wanahofiwa kuzikwa katika maporomoko ya udongo ya Papua New Guinea yaliyoharibu kijiji cha mbali cha nyanda za juu, serikali ilisema Jumatatu,
Month: May 2024
WAKATI mkataba wa Ununuzi wa Umeme kati ya Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na Kampuni ya kuzalisha umeme -SONGAS ukitarajiwa kufikia ukomo tarehe 31 Julai,
Dodoma. Sakata la Toto Afya Kadi limetinga tena bungeni na Serikali imeendelea kusisitiza msimamo wake kuwa kilichobadilika ni utaratibu wa kujiunga kupitia makundi, badala ya
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya utekelezaji wake ambapo ameshuhudia mifumo
SERIKALI imesema kuanzia Mei mwaka 2021 hadi sasa imelipa madai ya malimbikizo ya mishahara ya watumishi 132,611 yenye thamani ya Sh 219.7 bilioni. Aidha, imetoa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, bungeni jijini Dodoma, Mei 27, 2024. (Picha na
Jumatatu ya Tarehe 27 Mei 2024 inatambuliwa kuwa Siku ya Kumbukumbu kote Marekani na ni siku ya kuwakumbuka wanawake na wanaume waliotoa maisha yao kwa
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Dkt. Natu El-maamry Mwamba akikaribishwa na Mshauri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Afrika Mashariki katika Benki ya
Mkuu wa wilaya ya Mbogwe Bi. Sakina Mohamed amepiga Marufuku Mikopo umiza katika wilaya yake kwa madai imekuwa haiko kisheria kutokana na Akina Mama wengi
Burkina Faso. Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso inayoongozwa na Kapteni Ibrahim Traoré, imetangaza kuwa itaongeza muda wa utawala wa kijeshi kwa miaka mingine mitano.