Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Jeams Kaji amewataka wamiliki wa vyuo vikuu hapa nchini kuangalia uwezekano wa kuanzisha matawi ya vyuo vyao mkoani tanga
Month: May 2024
Mtwara. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Fredrick Shoo amewataka Watanzania kuwakataa viongozi wabinafsi hasa wanaowatelekeza wapigakura baada ya kushinda uchaguzi. Akizungumza kwenye
Na WAF โ Geneva, Uswisi Imeelezwa kuwa uzingatiaji mtindo bora wa maisha ikiwemo kufanya mazoezi pamoja na ulaji wa vyakula unaofaa kwa kupunguza matumizi ya
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Dkt Batilda Buriani amewataka wafanyabiashara kutoa ushirikiano wa kutosha kwa timu ya uelimishaji kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambayo
Katavi. Watu saba wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kupasuka kisha kupinduka Halmashauri ya Mlele, Kitongoji cha Lungunya mkoani Katavi. Vifo hivyo vimetokea hii
MAFURIKO. Jiji limesimama, hii ni baada ya jana Jumapili Jiji la Dar es Salaam nusu lilikuwa ni kama mali ya Yanga, baada ya timu hiyo
Home ยป PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO MEI 27,2024 About the author
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati Dkt. Dotto Biteko amepiga marufu kwa viongozi kuingilia mihimili badala yake wawasaidie wananchi kutatua changamoto zao bila kuvunja
KILE chenye raha huwa kina karaha yake. Shabiki mmoja wa Yanga amejikuta kwenye maumivu ya muda baada ya kutandikwa teke mgongoni na farasi wa Polisi.
Ziara ya kiserikali ya Macron nchini Ujerumani, ya kwanza kufanywa na rais wa Ufaransa katika miaka 24, inajiri wakati madola hayo mawili makubwa Ulaya yanakabiliwa