Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania May 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post
Month: May 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam May 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti
Unguja. Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuna mikataba mingi mibovu inayoigharimu nchi na kwamba kikiingia madarakani mwakani kitahakikisha inafumuliwa na kuweka mipya. Kauli hiyo iliyotolewa
NA MWANDISHI WETU,ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, amewasihi Wananchi wa Jimbo la Kwahani kufanya maamuzi sahihi
Dar es Salaam. Hofu ya kukamilika kwa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) inaendelea kupata mashiko, kufuatia kuendelea kushuhudiwa kwa ahadi zisizotimizwa za kukamilishwa utekelezwaji
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Kapteni Mstaafu George Mkuchika (Kushoto) sambamba na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace
LIVERPOOL, ENGLAND: JURGEN Klopp ameondoka England baada ya kudumu Liverpool kwa misimu tisa na anahitaji kupumzika. Klopp alisema ameushiwa nguvu ya kuendelea na kazi hiyo
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lisu amesema suluhisho la kumaliza ugumu wa maisha uliotamalaki nchini Tanzania ni
PATRICE Motsepe. Mtu na pesa zake. Ana utajiri wa Dola 3 bilioni. Haupati ubilionea kama hauna akili. Sio lazima ziwe akili za darasani. Zinaweza kuwa
Mbeya. Viongozi wa dini mkoani Mbeya wamempokea Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa vilio vya wananchi kuhusu barabara za lami na madaraja wakieleza kuwa kwa sasa