HABARI kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM), kipo tayari kukaa meza moja ya mazungumzo na vyama mbalimbali kwa lengo la kufanya mjadala wa Katiba pamoja na
Month: May 2024
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa, amevutiwa na ubunifu uliofanywa na Chuo Kikuu cha Dodoma
Vyanzo vya matibabu katika hospitali ya Deir al-Balah na katika kambi ya wakimbizi ya Nuseirat vimeeleza kuwa mashambulizi ya Israel yamesababisha vifo vya watu 11
Mwandishi wetu. MTANDAO wa kupinga utumikishaji watoto Tanzania, umesema watoto wa kiume ndio wahanga wakubwa wa kutumikishwa kazi katika jamii. Pia umesema watoto hao wamekuwa
SIKU chache tangu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) litangaze tuzo za soka kwa msimu wa 2023-2024 zitatolewa wakati ya Ngao ya Jamii ya uzinduzi wa
Waziri wa Fedha wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa pili kushoto), akizungumza wakati wa Mkutano wa 44 wa Baraza la Kisekta la
Vincent Kompany anamtaka nyota wa Ligi Kuu ya Uingereza pauni milioni 35 kama uhamisho wa kwanza wa Bayern Munich Bayern Munich wanamfuatilia nyota wa Arsenal
JESHI la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanamke mmoja anayedaiwa kushirikiana kula njama na hawara yake ambaye ni dereva bodaboda, kumuua mumewe ili wapate uhuru kustawisha
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Kata ya Itaje, Jimbo la Singida Kaskazini, wakati akiwa njiani
MASHABIKI wa soka visiwani Zanzibar wana kiu ya kuona udambwidambwi wa Stephane Aziz KI, Pacome Zouzoua na Yao Kouassi wa Yanga pamoja na mziki mnene