Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi wa Mtaa wa Katanini Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua mumewe, Ephagro
Month: May 2024
RAISI wa Yanga, Injinia Hersi Said amewahakikishia mashabiki wa Yanga leo Jumapili kwenye sherehe za ubingwa za timu hiyo kuwa hakuna mchezaji muhimu hata mmoja
Dar/mikoani. Usalama wa zaidi ya watu 60,000 wanaotumia huduma ya vivuko kati ya Kigamboni na Magogoni kila siku upo shakani. Mashaka ya usalama wa watu
NAHODHA wa Yanga, Dickson Job amezungumza kwa niaba ya wachezaji wenzake, kuwashukuru mashabiki kwa sapoti yao, tangu msimu huu kuanza hadi kufanikiwa kuchukua ubingwa. Job
Pemba. Wananchi wa Mji wa Machomane Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba, wametakiwa kushirikiana na viongozi wa dini kurejesha maadili kwa vijana, yanayotajwa kuporomoka.
MSAFARA wa Paredi la Kibingwa la Yanga inayosherehekea ubingwa wa 30 katika Ligi Kuu Bara na wa misimu mitatu mfululizo haushi vituko, kwani mara ulipoibukia
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amesema mahitaji ya virutubishi vya chakula ni
Unguja. Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi imeanza mpango wa kulinda na kusimamia maeneo matano ya hifadhi ya bahari kwa kutumia mfumo maalumu uliounganishwa
PROMOSHENI ya Expanse Tournament ndani ya Meridianbet Kasino bado inaendelea, nafasi ni yako wewe mpenzi wa michezo ya kasino ya mtandaoni kuendelea kupiga pesa nyingi.