WAKATI Yanga ikiwa uwanjani ikipambana na Tabora United, mashabiki wa timu hiyo walikuwa kwenye presha kubwa iliyotokana na kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’.
Month: May 2024
Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu, mawaziri na wabunge wamewafunza vijana namna ya kujitambua na kupambania fursa za uchumi, uongozi na maisha. Hayo yakifanyika,
Mwanasiasa mkongwe nchini, Alhadji Mustapha Songambele amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuliongoza vyema taifa. Mzee Songambele ametoa pongezi hizo mbele ya Katibu Mkuu wa
Yanga imekabidhiwa taji la ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa staili ya aina yake kwa kombe hilo kushushwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jana kwa
Arusha. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Emmanuela Kaganda amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha DC kuwafungia maduka wafanyabiashara wa eneo la Ngaramtoni hadi watakapofanya usafi
Taasisi isiyo ya kiserikali ya LALJI FOUNDATION kwa kushirikiana na GAME FRONTIERS OF TZ, KIGOMA HILLTOP HOTEL na Hospitali ya Wilaya ya Kasulu wameendesha kambi
WAGOSI wa Kaya, Coastal Union wamejihakikisha nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao baada ya leo kukata tiketi ya CAF kwa kutoka suluhu na
Leo ikiwa ni siku ya Afrika,tujadili hili la kilimo na usalama wa udongo Afrika, athari zake bila kusahau utatuzi wake. Lugha ya sokoni kati ya
Moshi. Wakati mamia wakijitokeza kumzika Frateri Rogassian Massawe anayedaiwa kujinyonga, mama yake mzazi, Levina Hugo ameshindwa kuhudhuria maziko hayo. Frateri huyo ambaye amezikwa leo Jumamosi
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Dokta Abdulaziz Abood amewataka waandishi wa habari mkoani Morogoro Kutumia kalamu zao vizuri kwa kuandika masuala mbalimbali yatakayo