Siha. Mkazi wa Kijiji cha Sanya Hoyee kilichopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ayubu Salungo (24), amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la
Month: May 2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kapteni Hussein Mohamed Seif kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia
Dar es Salaam. Kama unadhani msingi wa uponyaji wa maradhi yoyote yanayokusibu ni kununua dawa katika duka la dawa au hospitali unakosea, wakati mwingine huhitaji
Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Viti MAALUM Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Esther Maleko ameipongeza Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao kwa mchango wao mkubwa wa
Dar es Salaam. Wanawake hususani vijana wametakiwa kutumia fursa za ukuaji wa teknolojia na matumizi ya kidijitali kutatua changamoto zinazoikabili jamii. Hilo likifanyika, imeelezwa ushiriki
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), kushirikiana na Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB) pamoja na Bodi ya Usajili wa
Dodoma. Mafundi sanifu nchini wameiomba Serikali kuitambua kada hiyo kwenye ngazi ya shahada za uzamili na uzamivu wakieleza wanalazimika kubadilisha fani kwenda kwenye uhandisi ili
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Ziwa limeteketeza tani saba ya bidhaa zisizokidhi matakwa ya viwango ikiwemo vipodozi vyenye viambata sumu, maziwa ya watoto
MUUNGANO kati ya Tanganyika na Zanzibar uliotimiza miaka 60 tangu kuundwa kwake, tarehe 26 Aprili 1964, umekumbana na changamoto nyingi na mafanikio mbalimbali. Anaandika Alfred
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Serikali imeombwa kushirikiana na taasisi zisizo za kiserikali kuhamasisha elimu ya teknolojia ya kidigiti kuanzia ngazi ya chini. Ombi hilo