Month: June 2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI 1,2024 Featured • Magazeti About the author
MFANYABIASHARA maarufu nchini, Yusuf Manji amefarikia dunia leo Jumapili jijini Florida nchini Marekani baada ya kuugua kwa muda mfupi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Uongozi wa Young
Msimu wa 4 wa mashindano ya mpira wa Kikapu ya CRDB Bank Taifa Cup umehitimishwa siku ya Jumamosi jijini Dodoma katika viwanja vya Chinangali na
Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewateua makada wake 10 kuwania nafasi za uenyekiti wa mikoa na wilaya mbalimbali. Nafasi hizo ni zile zilizoachwa
Dar es Salaam. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameiagiza Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) kuwasimamisha vigogo wawili
Mwanza. Wakati matumizi ya dawa za kulevya yakiathiri vijana zaidi ya 14,874 nchini, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza uandaliwe mpango wa uwezeshaji wa waraibu wa
Dar es Salaam. Saratani ya uume, ugonjwa ambao haujulikani sana kwa wengi nchini Tanzania, unaathiri maisha ya wanaume kwa kiwango kikubwa. Wakati mwingine, matibabu pekee
Dar es Salaam. Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini (Chadema), Peter Msigwa amesema uamuzi wake wa kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) umechochewa na hatua ya
Mwanza. Wadau mbalimbali jiji hapa wamependekeza suala la upatikanaji wa Katiba mpya lirejeshwe bungeni likajadiliwe upya ili kuruhusu mchakato uendelee. Mapendekezo mengine ni kuitishwa kwa