BALOZI NCHIMBI AZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI MANYARA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wanachama na Viongozi wa Chama na Serikali na wawakilishi wa makundi mbalimbali Mkoa wa Manyara, kwenye mkutano wa ndani, uliofanyika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Manyara, mjini Babati, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku mbili mkoani humo.












Related Posts