Wakati safari za treni ya kisasa kutoka Dar es Salaam – Dodoma zikitarajiwa kuanza Julai 25, 2024, Shirika la Reli nchini (TRC) linatarajia kupokea vichwa vya treni ya umeme vinane na treni za kuchongoka mbili kutoka Korea Kusini ifikapo Juni 16, 2024.