NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), kupitia mradi Jumuishi kati ya wasindikaji na wazalishaji wa Maziwa (TI3P), unaotekelezwa na benki
Day: June 2, 2024
Mmoja wa wadau akipokea cheti cha shukurani kutoka kwa Ofisa Maendeleo ya Jamii, Manispaa ya Ilemela,Sitta Singibala (kushoto), leo. Ofisa Maendeleo ya Jamii, Manispaa ya
WANANCHI wa kijiji cha Makome na Makome B wilaya ya Mtwara Mkoani Mtwara,wamepata matumaini ya kuondokana na adha ya ukosefu wa huduma ya maji safi
KUNA lingine huko…ni swali lililokuwa likiulizwa kwa furaha na mashabiki wa Yanga baada ya timu hiyo kutetea taji la Kombe la Shirikisho kwa msimu wa
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua ‘Akaunti ya Mfugaji’ mahususi kwa ajili ya wadau wa sekta ya ufugaji nchini wakiwemo wafugaji, wanenepeshaji mifugo, wafanyabiashara
WASHAMBULIAJI Kibu Denis wa Simba na Simon Msuva wa Al Najma wanatarajiwa kuungana timu ya taifa, Taifa Stars iliyokuwa uwanjani kucheza mechi ya kirafiki ya
Kama ilivyo nyumba, ndoa ina misingi yake. Kama ilivyo taasisi yoyote, ndoa ina nguzo hata miiko yake ambayo wanandoa wanapaswa kuizingatia na kuilinda. Hapa, tutaongelea
Geita. Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema dhamira ya Serikali ni kuhakikisha maeneo yote ya utawala yanayotoa huduma karibu na wananchi yanaimarishwa kwa viwango. Majaliwa amesema
Geita. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wajasiriamali wadogo nchini, kutumia majengo ya uwezeshaji wananchi kiuchumi yaliyojengwa kwenye baadhi ya Halmashauri kupata elimu ya
Moshi. Mkuu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dk Fredrick Shoo amewaomba msamaha waumini wa kanisa hilo na Watanzania wote aliwakosea na kuwakwaza