DIWANI PASIANSI AKABIDHI WADAU VYETI VYA SHUKRANI KUFANISHA UJENZI WA ZAHANATI BWIRU PRESS


Mmoja wa wadau akipokea cheti cha shukurani kutoka kwa Ofisa Maendeleo ya Jamii, Manispaa ya Ilemela,Sitta Singibala (kushoto), leo.


Ofisa Maendeleo ya Jamii, Manispaa ya Ilemela,Sitta Singibala (kushoto),leo akimkadhi cheti cha shukurani mmoja wa wadau wa maendeleo Kata ya Pasiansi. Picha zote na Baltazar Mashaka
Mkurugenzi wa Fish Maws Industry ()kulia) akipokea cheti shukurani kutoka kwa Ofisa Maendeleo ya Jamii, Manispaa ya Ilemela,Sitta Singibala, leo ambavyo vimetolewa na Diwani wa Pasiansi, Rosemary Mayunga

Related Posts