Dar es Salaam. Mshtakiwa Fadhil Athuman na wenzake wawili, wameiomba Serikali iangalie uwezekano wa kuwabadilishia shtaka la mauaji linalowakabili liwe shtaka la mauaji bila kukusudia.
Day: June 3, 2024
SHAHIDI wa tatu wa upande wa mashtaka, Kiran Lalit Ratilal katika kesi ya kujeruhi na kutoa lugha ya matusi inayowakabili wanandoa Bharat Nathwan (57) na
Dar es Salaam. Katika kuhakikisha mpango wa kuwa na mkondo wa elimu ya amali kwa shule za sekondari na vyuo vya elimu ya ufundi na
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesema ana nia ya kujenga chuo cha masuala ya anga nchini Tanzania kwa kushirikiana
Unguja. Wizara ya Afya imeainisha vipaumbele 10 itakavyotekeleza katika bajeti ya mwaka 2024/25 ikiwamo kupunguza vifo vya mama wajawazito kutoka vifo 145 kwa kila vizazi hai 100,000 kwa
Waziri Mkuu Kassim Majakiwa amesema Serikali inaendelea kujikita katika kuhakikisha inaimarisha na kuwashirikisha wavuvi na wafugaji katika mipango ya maendeleo. Amesema hayo leo Juni 03,
Dar es Salaam. Wakala wa Taifa wa Barabara Tanzania (Tanroads) imesema upanuzi unaoendelea wa sehemu ya barabara ya Morogoro kutoka Ubungo hadi Kimara-Mwisho jijini Dar
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Biashara, Uwekezaji na Sekta za Uzalishaji katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Benjamini Mwesiga
Dodoma. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa mara nyingine ameibua mjadala mkali bungeni safari hii akitoa kutoa wito kwa Bunge kumtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
Na Munir Shemweta Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewahimiza wamiliki wa ardhi nchini kuhakikisha wanalipa kodi ya pango