Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wananchi wa Mji wa Bomang’ombe, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, leo
Day: June 4, 2024
Unguja. Wanafunzi 5,818 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano kisiwani hapa. Idadi hiyo ya wanafunzi imeongezeka kutoka 4,415 mwaka 2023 hadi kufikia 5,818
Dar es Salaam. Bei ya rejareja ya mafuta ya petroli kupitia Bandari ya Dar es Salaam inayoanza kutumika leo Juni 5, 2024 imeshuka kwa Sh52.72
Songwe. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Songwe imewafikisha mahakamani waliokuwa askari polisi watatu wakishtakiwa kwa kuomba na kupokea rushwa. Â Askari
Dar es Salaam. Tume ya Mipango, imewaita wananchi kushiriki kutoa maoni ikiwamo kutuma ujumbe mfupi kuhusu dira ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050. Dira
Arusha. Serikali imewataka wataalamu kuitumia teknolojia ya Habari na Mawasiliana (Tehama) kuboresha huduma za Posta barani Afrika, baada ya kukua kwa teknolojia na matumizi ya
Hai. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amempongeza Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu wake-Bara, Tundu Lissu kwa kufanya maandamano
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma. Kabla ya uteuzi huo Profesa
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametembelea na kukagua mabanda mbalimbali ya
Dodoma. Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amempa siku 10 Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuwasilisha uthibitisho kwamba Waziri wa Kilimo, Hussen Bashe amelidanganya Bunge.