NA WILLIUM PAUL, MOSHI.
MKUU wa Wilaya ya Moshi Zephania Sumaye ametangaza siku 21 za moto za Oparation ya kukamata mitambo yote inayotengenzea pombe haramu ya gongo katika Wilaya hiyo.
Akizungumza katika baraza la Madiwani la Halmashauri ya Moshi Sumaye amesema vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa wameharibikiwa kutokana na unywaji wa pombe kupita kiasi.