Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu na Balozi wa Umoja wa Ulaya, Christine Grau (kulia) wakizungumza juu ya masuala mbalimbali yanayohusu ushirikiano katika masuala ya kudhibiti uhalifu.Kikao hicho kimefanyika Makao Makuu ndogo ya wizara jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Balozi wa Umoja wa Ulaya,anaewakilisha umoja huo hapa nchini, Christine Grau (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu juu ya masuala mbalimbali yanayohusu ushirikiano katika masuala ya kudhibiti uhalifu.Kikao hicho kimefanyika Makao Makuu ndogo ya wizara jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi