Picha: Naibu Waziri Mkuu Dkt Doto Biteko ahudhuria Mkutano wa Uvuvi mdogo Afrika Jijini DSM

Ni June 05, 2024 ambapo Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili katika Ukumbi wa Mlimani City Hall Jijini Dar es Salaam kwenye Mkutano wa Uvuvi mdogo Afrika.

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (katikati) akiwasili kwenye ukumbi wa Mkutano wa Uvuvi Mdogo Afrika ulioanza leo Juni 05, 2024, Mlimani City jijini Dar-Es-Salaam, Kulia ni Waziri wa Maliasili na Mabadiliko ya Tabia nchi kutoka Malawi Mhe. Dkt. Michael Usi.

   Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akiteta jambo na Waziri wa Maliasili na Mabadiliko ya Tabia Nchi kutoka Malawi Mhe. Michael Usi kwenye Mkutano wa Uvuvi Mdogo Afrika ulioanza leo Juni 05, 2024 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar-es-Salaam.

 

Related Posts