Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya Korea, Kiyeon amesema mkopo huo umetokana na ushirikiano mzuri kati ya serikali za Tanzania na Korea Kusini, huku akitarajia ushirikiano huo utaendelea kwenye maeneo mengine.