Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ikiongozwa na Mwenyekiti Profesa Othman Chande Othman imetembelea ofisi za TBS zilizopo mipaka ya Namanga, Holili,
Day: June 7, 2024

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa majadiliano kati ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na Vyuo Vikuu

Leicester City imethibitisha kuwa Dennis Praet, Marc Albrighton na Kelechi Iheanacho wataondoka katika klabu hiyo wakiwa wachezaji huru. Uamuzi huu unaashiria mwisho wa muda wao

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema kuwa Kampuni ya Volt Graphite Tanzania Limited (VGT) ipo katika majadiliano ya mwisho na wanunuzi wa Madini

Afisa Usimamizi wa Fedha katika Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha katika Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, akitoa semina kwa wananchi wa kata

Mshambulizi wa Crystal Palace, Eberechi Eze ana kipengele cha kutolewa chenye thamani ya pauni milioni 60, Mail Sport inaweza kufichua. Eze aliteuliwa katika kikosi cha

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji (Rufaa), Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akifungua mkutano wa Tume na viongozi wa vyama vya

Toni Kroos atangaza kuwa atafanya kazi katika akademi ya Real Madrid baada ya kustaafu. Toni Kroos: “Nitatumiaje wakati wangu wa bure? Pamoja na familia yangu

Arusha/Dar es Salaam. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) kwa mara nyingine imeiamuru Serikali ya Tanzania kufuta adhabu ya kifo kama

Mkuu wa Chuo cha VETA Shinyanga, Magu Mabelele (wa nane kulia) akielezea namna wanavyokata madini katika Karakana ya Ukataji Madini Vito katika Chuo cha VETA