Unguja. Wakati bajeti ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ikipitishwa, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamesema bado hawajaona mkakati madhubuti wa kutekeleza sera
Day: June 8, 2024

Muleba. Judith Richard (20), Mama mzazi wa mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath (2) aliyeibiwa na watu wasiojulikana akiwa sebuleni kwao Kitongoji cha Mbale Wilaya ya

Tanga. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba, amemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kwa mambo manne yanayomfanya kuwa bora duniani.

Dar es Salaam. Wasomi na viongozi wa kisiasa wamebainisha maeneo matatu ambayo yanakwamisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2025, wakitaka yafanyiwe kazi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaagiza watendaji wa Serikali nchini kusikiliza

Dodoma. Wabunge wametaka Mfumo Mpya wa Ununuzi wa Umma (NeST), kufungwa moduli inayoonyesha hatua zote za manunuzi hadi malipo. Pia wameshauri taasisi zitakazoshindwa kuwalipa wakandarasi

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Nicholas Merinyo Mkapa ametembelea maabara ya Chuo Kikuu cha Hanyang kilichopo katika

Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dodoma, imetengua hukumu na adhabu ya Mahakama ya Wilaya ya Singida iliyomuhukumu kifungo cha maisha jela aliyekuwa askari wa

KAMPUNI ya Uendelezaji Jotoaridhi Tanzania (TGDC) ambayo ni Kampuni tanzu ya Tanesco imesema inaendelea na mkakati wake wa kuchoronga visima vya nishati ya jotoaridhi kwa

NIMEONA mitandaoni taarifa za kujiuzulu kwa viongozi wa Simba upande wa mwekezaji, Mohamed Dewji. Zipo taarifa Wajumbe wote akiwemo Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah Muhene