Kumekuwa na malalamiko, majadiliano na tafiti nyingi kuhusu ongezeko la talaka nchini. Wengi wanaamini na inavyoonekana moja kwa moja, kwamba suala hili la talaka linaathiri
Day: June 10, 2024

Johannesburg. Bunge jipya la Afrika Kusini lililochaguliwa Mei 29, 2024 litakutana kwa mara ya kwanza Ijumaa ya Juni 14, 2024, wakati vyama vya siasa vikivutana

Unguja. Chama Cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kushika dola mwaka 2025 kwani Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepoteza misingi ya ilani ya ASP iliyoasisiwa na Hayati

Dodoma. Serikali ya Tanzania imewaondoa hofu Watanzania kuwa fedha zitakazotumika kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) zitarejeshwa kwa umma, ili zitumike

Mwanza. Watu saba wamejeruhiwa baada ya daladala kuacha njia na kugonga nguzo zilizoko barabarani eneo la Nyakato Sokoni, Jijini Mwanza. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa

Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 11,2024 Featured • Magazeti About the author

Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa,

Dar es Salaam. Ni kipindi cha wakazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam kufunga mkanda. Kauli hiyo inaakisi uhalisia wa uvumilivu wa zaidi ya mwaka

Na Elizaberth Msagula,Lindi Viongozi ngazi ya Wilaya na Mkoa wa Lindi wamekumbushwa kuzingatia weledi katika utekelezaji wa mpango jumuishi wa wahudumu wa afya ngazi ya

Dodoma. Uwasilishaji wa bajeti za kisekta na uchangiaji wa wabunge wa mijadala ya kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha