Na Nora Damian, Mtanzania Digital Zaidi ya vijana 30,000 wamebadili maisha yao kupitia tamasha linaloandaliwa kila mwaka na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
Day: June 13, 2024
Mwanza. Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Shule ya Sekondari Ufundi Mtwara ni mojawapo ya taasisi zinazotumia nishati ya gesi asilia kwa kupikia mkoani Mtwara na imefurahia
Dar es Salaam. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametoa onyo kwa watu binafsi na kampuni zinazojihusisha na utoaji wa mikopo inayojulikana kama ‘kausha damu’
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2024/25 kwa njia ya runinga nyumbani
Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk Franklin Rwezimula amekitaka Chuo Kikuu cha Dar es Dar es Salaam
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WANAHARAKATI wa Jinsia na Maendeleo kupitia Mtandao wa Jinsia Tanzania- TGNP, wameishukuru Serikali kulifanyia kazi suala la kikokotoo ambacho kimeongezwa
Dar es Salaam. Serikali imeongeza Sh382 katika kilo moja ya gesi inayotumika katika magari na sasa bei itakuwa Sh1,932 kutoka Sh1,550. Hayo ni miongoni mwa
Moshi. Kilio cha washukiwa wa uhalifu kufariki mikononi mwa polisi, kinazidi kulitikisa Jeshi la Polisi, baada ya kutokea tukio mkoani Kilimanjaro, kwa mkazi wa Kijiji
Kwa mujibu wa ripoti za hivi punde kutoka L’Équipe, Al Ittihad inamfuatilia kwa dhati beki huyo wa kimataifa wa Uhispania, ambaye atakuwa mchezaji huru mara