Picha| Rais Samia akifuatilia hotuba ya bajeti kuu ya Serikali 2024/25

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2024/25 kwa njia ya runinga nyumbani kwake Chamwino Mkoani Dodoma. Hotuba hiyo ilikuwa ikisomwa bungeni na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba, Juni 13, 2024.

Related Posts