Musoma. Baadhi ya wafanyabiashara mkoani Mara wamelalamikia uwepo wa makato makubwa kwenye taasisi za kifedha hasa benki hali inayosababisha baadhi kutokutunza fedha kwenye taasisi hizo. Madai
Day: June 15, 2024
ACHANA na matokeo ya ushindi wa mabao 2-1 iliyopata timu Mwamnyeto dhidi ya Mbeya All Stars, burudani ilikuwa kwa mchekeshaji, Oscar Mwanyanje ‘Mc Mboneke’ aliyeteka
Moshi. Wakati mamia ya waombolezaji wakishiriki mazishi ya mama wa Frateri, Levina Massawe (58) aliyefariki dunia siku 16 baada ya mwanaye, Rogassian Masawe kudaiwa kijinyonga,
MABOSI wa Yanga wakiendelea kumfuatilia kwa ukaribu Phillipe Kinzumbi wa TP Mazembe ya DR Congo aliyedaiwa kusaini kwa mabingwa wa Morocco, Raja Casablanca, lakini wanapiga
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 16,2024 Featured • Magazeti About the author
Iringa. Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imemhukumu kifungo cha maisha jela, msafirishaji wa dawa za kulevya, Mwasema Bakari aliyejisalimisha Kituo
BAADA ya jana kushuhudia mechi kali ya ufunguzi wa michuano ya EURO, Leo kama kawaida mechi hizo zinaendelea ambapo viwanja vitatu kuwaka moto. Piga mzigo
IMEPITA misimu mitatu mfululizo Yanga ikijichimbia kambi ya maandalizi ya mpya mpya (pre season) ikiwa Avic Town, Kigamboni jijini Dar es Salaam, lakini safari hii
Kamati ya kupinga ukatili wa kijinsia yalia ndoa nyingi kuvunjika na kusababisha ukatili kwa watoto.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa wananwake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) mkoa wa Njombe Scholastika Kevela ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya kupinga
Dar es Salaam. Kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza na hii ni baada ya wafanyabiashara wanne wa Jiji la Dar es Salaam waliohukumiwa