SHINDA ZAWADI KIBAO UKIBASHIRI NA USSD EURO

MICHUANO ya EURO inatarajiwa kuanza leo hii ambapo Meridianbet inakusisitiza kubashiri kwa kutumia USSD uweze kujishindia zawadi kibao. Usisubiri kupitwa na hii ofa ndani ya meridianbet.

Promosheni hii ya EURO 2024 na Copa America imekuja maalumu kwaajili yako ili uweze kujishindia zawadi ambazo zinatolewa na Meridianbet kama vile Bajaj mpya, Bodaboda, TV Inch 55, Laptop aina ya DELL na Samsung A23.

Ndugu mteja unatakiwa kuweka dau lako kwenye akaunti yako ya Meridianbet ambayo umesajili kwa kutumia USSD na uanze haraka sana kubashiri mechi hizi zinazoanza leo ambapo leo hii kutakuwa na mchezo wa ufunguzi kati ya mwenyeji Ujerumani dhidi ya Scotland ambapo nafasi ya kushinda mechi hii akipewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.29 kwa 9.01. Jisajili sasa.

Kumbuka kuwa promosheni hii ili uweze kushiriki ni lazima uwe umejisajili kwa USSD na kama bado hujajisajili piga *149*10# na uanze kutengeneza jamvi lako na Meridianbet sasa.

Pata zawadi kibao na EURO 2024 leo hii beti na kitochia ua USSD mechi hizi zinazoanza leo ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Bajaj, bodaboda , Laptop na zingine kibao. Pia unaeza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Vilevile Promosheni hii inaanza leo hii tarehe 14 June ambapo itaenda mpaka 14 July yaani ni promosheni ambayo itadumu kwa mwezi mzima, huku mteja ukifurahia ushindi mnono sana ukiwa na mabingwa hawa wa ubashiri Tanzania.

Wakati kwa COPA America mashindano haya yanatarajia kuanza wiki ijayo na ukiingia Meridianbet ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana, hivyo kazi ipo kwako ndugu mteja unakosaje zawadi kedekede zinazotolewa na Meridianbet?

Dau la chini ambalo unatakiwa kuweka kwa kila tiketi ni shilingi 1000 na timu kuanzia 3 au zaidi zitoke kwenye EURO au COPA America. Lakini kumbuka kuwa jinsi unavyocheza mara nyingi ndivyo ambavyo unajiweka kwenye nafasi ya kuibuka mshindi wa Bajaj mpya, bodaboda, Laptop, Simu aina ya Samsung na zingine kibao.

Related Posts