Tanga. Nini kimesababisha mkoa wa Tanga kuporomoka katika sekta ya viwanda? Hili ndilo swali linagonga vichwa vya Watanzania wengi, huku baadhi wakitaja sababu tatu kuwa
Day: June 16, 2024
Geita. Mamia ya wananchi wameshiriki maziko ya aliyekuwa Diwani wa Kamena Halmashauri ya mji wa Geita, Peter Kulwa (67) aliyefariki dunia Juni 13, 2024 na
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amevutiwa na huduma zinazotolewa na Wakala ya Maabala ya Veterinari Tanzania (TVLA) alipotembelea banda
Kigoma. Wananchi wa Kijiji cha Basanza Wilayani Uvinza, Kigoma wameiomba Serikali kuwaondoa kazini madaktari na wahudumu wa afya wasio na huruma na utu kwa wagonjwa.
Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel, Bi. Doris Mollel, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO),
Mbeya. Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya mjini, Dk Tulia Ackson amesema tatizo la mgao wa maji litafikia ukomo baada ya utekelezaji wa mradi
Moshi/Dar. Kuna nini Ikulu? Ndilo swali linaloonekana kuwasumbua Watanzania wengi kwa sasa, baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko mengi mfululizo ya wasaidizi wake
Unguja. Wataalamu wa afya na watunga sera kutoka mataifa ya Afrika wamekutana Zanzibar kujadili mbinu na kuweka utayari wa kukabiliana na dharura za kiafya kwa
Kampeni ya Holela-Holea Itakukosti inasisitiza mbinu kamilifu ya “Afya Moja” kushughulikia tatizo la UVIDA na magonjwa ya zuonotiki. Holela-Holela ilizinduliwa mwishoni mwa mwezi uliopita
Mwekezaji wa Simba Mohamed Dewji ‘MO’, amefanya uteuzi wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa upande anaousimamia, akiwarudisha watu wa mpira ndani ya klabu hiyo.