SPIKA WA BUNGE DK.TULIA ASHIRIKI MAZISHI YA DK.SHOGO MLOZI MKOANI MANYARA

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  leo tarehe 17 Juni, 2024 amewasili Hanang Mkoani Manyara kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA),  Dkt. Shogo Mlozi, aliyefariki Dunia tarehe 13 Juni, 2024

Related Posts