https://p.dw.com/p/4h8f0
Shambulizi hilo limetokea katika mji wa nje kidogo wa Salkam. Hili lilikuwa shambulizi la kwanza dhidi ya bomba hilo la mafuta lililo kilomita 2000 linalounganisha eneo la mafuta la kaskazini Mashariki la Agadem na bandari ya Benin ya Seme Kpodji
Soma pia:Mzozo wa Benin-Niger waongezeka baada ya raia wa Niger kuzuiwa Benin
Jeshi hilo limesema limefanikiwa kulifurusha kundi hilo na pia kuwakamata baadhi ya wanachama wake waliojeruhiwa.