LEO PESA UTAIPATIA KWA URENO NA UTURUKI UKIWA NA MERIDIANBET

KAMA kawaida michuano ya EURO 2024 inazidi kupamba moto huku vichapo navyo vikiendelea kutembea kama kawaida. Suka jamvi lako na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania sasa uibuke mshindi.

Leo hii zitapigwa mechi mbili za Kundi F ambapo mechi itakayoanza ni hii ya Turkey dhidi ya Georgia majira ya saa moja usiku huku kwa upande wa Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Uturuki kwa ODDS 1.76 kwa 4.70. Timu hizi mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2012 ambapo Georgia alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?. Suka jamvi hapa.

Saa nne usiku kutakuwa na mechi kali ambayo inasubiriwa na mashabiki wengi wa mpira nayo ni ya Portgal dhidi ya Czech Republic katika dimba la Red Bull Arena. Ikumbukwe kuwa Ureno walichukua kombe hili 2016 na hivi sasa wanataka kulitetea.

Ureno chini ya kocha mkuu Roberto Martinez wamependelewa kushinda mchezo huu wakiwa na ODDS 1.50 kwa 6.07, huku wakiwa na wachezaji bora wengi akiwemo Cristiano Ronaldo, Bernado Silva, Jota, Rafael Leao na wengine kibao. Je wataanzaje michuano hii? Jisajili sasa.

EURO inaendelea leo hii suka jamvi lako hapa na ODDDS KUBWA. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Baada ya kupigika vibaya sana mchezo uliopita hapo kesho saa kumi Croatia ataumana dhidi ya Albania ambao nao walichezea kichapo. Yaani zinakutana timu mbili ambazo zimetoka kupoteza mechi zao.

Croatia yenye Modric, Kovacic, Brozovic na wengine wengi kushinda mechi hii wamepewa nafasi kubwa ya kuondoka wababe wa mechi hii kwa ODDS 1.47 kwa 6.86. Je nani atapoteza mchezo wa pili mara hii. Beti na Meridianbet.

Huku wenyeji wa michuano hii Germany baada ya kuibuka na ushindi mkubwa mechi ya kwanza, watakabiliana dhidi ya Hungary ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Mara ya mwisho kukutana, Nagelsmann na vijana wake waliibuka wababe. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.27 kwa 9.40, lakini vilevile kuna machaguo zaidi ya 1000 hapa. Ingia na usuke mkeka wako sasa.

Mechi ya kibabe hapo kesho itakuwa ni kati ya Scotland dhidi ya Switzerland ambao walionyesha mchezo bora sana mechi yao iliyopita. Scotland ambao wamepoteza mechi iliyopita, watataka pointi tatu kabla jua halijakuchwa. Wakati Uswizi wao wametoka kushinda kwa kishindo. Mechi hii ina ODDS 4.21 kwa 1.81. Tengeneza jamvi hapa.

Related Posts