Moshi. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amefika nyumbani kwa aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro (RAS), Tixon Nzunda (56)
Day: June 19, 2024
Mirerani. Mkazi wa Kitongoji cha Kazamoyo katika mji mdogo wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, amejeruhiwa mgongoni akidaiwa kumwagiwa maji ya moto na mkewe.
Na Happiness Shayo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amefungua rasmi Maonesho ya kwanza ya asali kufanyika nchini Tanzania (Honey Show) huku
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amewaelekeza watumishi wa mahakama kuisoma ripoti ya Tume ya Haki Jinai ili kuimarisha
Mei 30, 2024, mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath, umri miaka miwili, alinyakuliwa kutoka kwa mama yake, kisha watu wakatoweka naye. Juni 17, 2024, ikiwa ni
Dar es Salaam. Wakati deni la Serikali likiendelea kuongezeka, wasomi na mchambuzi wa uchumi wamehoji matumizi ya mikopo inayochukuliwa na Serikali, huku pia wakihoji tozo
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 20,2024 Featured • Magazeti About the author
HUSSEIN Mohammed Bashe, waziri wa Kilimo, amekiweka pabaya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kufuatia kuibuka kwa madai kuwa ameshiriki katika ukiukwaji wa sheria, rushwa na kuikosesha
Moshi. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewataka wanachama wa chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro kumuenzi mwanasiasa mkongwe mkoani humo, Philemon
Na Mwandishi Wetu, Afrika Kusini Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya ushauri ya Utawala na Sera katika Mkutano