NAIBU WAZIRI KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA BUNGE MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Ofisi ya Bunge katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma hii leo. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ndg. Juma Mkome na kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Ofisi ya Bunge Ndg. Triphonia Mng’ong’o.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Ofisi ya Bunge katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma hii leo.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akifurahi jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ndg. Juma Mkome (kulia) na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Ofisi ya Bunge Ndg. Triphonia Mng’ong’o (kushoro) wakati alipotembelea banda la Ofisi ya Bunge katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma hii leo.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Ofisi ya Bunge Ndg. Triphonia Mng’ong’o (kushoro) akielezea jambo kwa wananchi waliotembelea banda la Ofisi ya Bunge katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma hii leo.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete(katikati) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ndg. Juma Mkomi (wa kwanza kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa Bunge wakati alipotembelea banda la Ofisi ya Bunge katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma hii leo.

Related Posts