TETESI ZA USAJILI BONGO: Kyombo kuibukia Singida Black Stars

NI suala la muda tu kabla ya straika wa Simba aliyekuwa akicheza kwa mkopo Singida Fountain Gate, Habib Kyombo kutua Singida Black Stars (zamani Ihefu).

Inadaiwa kuwa, mabosi wa Singida BS wameanza rasmi mazungumzo ya kumpata Kyombo ili aitumikie timu hiyo kwa kwa msimu ujao wa mashindano.

Dili la Kyombo linapata wepesi kutokana na mchezaji huyo kumaliza mkataba na Simba iliyompeleka kwa mkopo Singiga FG (sasa Fountain Gate) na inaelezwa mazungumzo yamefikia pazuri kwa sasa.

Related Posts