*Ni katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Mabaharia Duniani Juni,25 Na Chalila Kibuda Michuzi TV,Bagamoyo Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa kushirikiana na
Day: June 23, 2024
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imepongezwa kwa kuendeleza jitihada mbalimbali za kuboresha miundombinu katika sekta ya Utalii nchini ambapo kwa sasa kupitia mradi
Na Mwandishi wa NCAA. Rais wa Shirikisho la wafugaji Nyuki Duniani (Apimondia), Dkt. Jeff Petiz, ametembelea eneo la hifadhi ya Ngorongoro na kutoa pongezi kwa
-Azindua mifumo minne ya kidijiti Serikalini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za umma ziweke mipango madhubuti ya kutumia mifumo ya kidijitali ambayo italeta mageuzi
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 24,2024 Featured • Magazeti About the author
Arusha. Mahakama ya Rufani imemwachia huru mkazi wa Kahama, Richard Jacobo aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua dereva teksi, Patrick
Lindi. Utafiti ya mwaka 2021/22 umeonesha Mkoa wa Lindi una asilimia 21 ya watoto wenye udumavu na uzito pungufu kwa walio chini ya miaka mitano.
Mtwara. Wakulima wa zao la ufuta mkoani Mtwara wameeleza kutoridhishwa na uendeshaji wa minada kupitia mfumo wa Mauzo wa Kieleteoniki (TMX) wakihoji uwazi wa nani
Unguja. Uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kutangaza dhamira ya kumuongezea muda Rais Hussein Ali Mwinyi wa kuongoza kutoka miaka mitano hadi saba, umewaibua
Arusha. Matumizi makubwa ya mbolea za kisasa na viuatilifu yametajwa kutishia usalama na uhakika wa chakula nchini Tanzania. Inaelezwa hali hiyo inasababishwa na kuibuka kwa