Mwanza. ‘Dhahabu ili ing’ae lazima ipite kwenye moto’ ni msemo ambao ameutumia Costasnia Kisege ambaye ni Mwalimu, Mwamuzi wa Mchezo wa Netiboli Ngazi ya Taifa,
Day: June 25, 2024
Na Mwandishi Wetu, Rukwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuanza rasmi kwa zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU ambapo sasa ni zamu ya
Kamishna wa Operesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi Nchini CP Awadhi Juma Haji amewakabidhi askari wa kike wa Jeshi la Polisi Bendera ya Taifa
Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema ili kufika malengo ya ajenda ya 2063 ya nchi wanachama wa Eneo Huru
Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema haina mpango wa kubinafsisha sekta ya elimu na Shirika la Biashara la Taifa (ZSTC) kutokana na umuhimu wake
Sengerema. Kufuatia jaribio la kutaka kuua mtoto mwenye ualbino, Eyani Donad (4) katika Kata ya Kasungumile wilayani Sengerema, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetoa
Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Benki ya NMB kwa kuanza kutoa bima ya mifugo inayolenga
Lushoto. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kulipa deni la zaidi ya Sh700 milioni, linalodaiwa na wafanyakazi,
Nairobi. Rais wa Kenya, William Ruto amesema maandamano ya amani ya Generation Z yaliingiliwa na wahalifu, akisisitiza Serikali itazingatia mamlaka yake ya kikatiba ya kulinda
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 26,2024 Featured • Magazeti About the author