Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 28,2024 Featured • Magazeti About the author
Day: June 27, 2024
Boti hiyo ni yapili kutolewa wilayani Mkinga kwa jumuiya za kamati ya uhifadhi wa Bahari ya eneo moja la uvuvi( CFMA- collaborative Fisheries management area)
Dar es Salaam. Imeelezwa kutokana na baadhi ya watu kukosa ujasiri wa kufanya uamuzi binafsi katika kuzichangamkia fursa, hali hiyo imesababisha walio wengi kuwa masikini.
Dkt. Harrison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili akizungumza katika kongamano hilo Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Nairobi. Bunge la Kitaifa la Kenya halitaitishwa kwa kikao maalumu kujadili upya Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2024 ambao Rais Rais William Ruto
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuzingatia utamaduni wao na katu wasiendekeze utamaduni wa kigeni kwan kwa kufanya
Dar es Salaam. Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) inatarajiwa kuketi Juni 30, 2024, pamoja na mambo mengine masuala sita yakitajwa kuwa na uwezekano
NYOTA wawili wakubwa wa timu ya taifa ya Morocco kwa sasa wapo nchini kwa ajili ya mapumziko baada ya kumalizika kwa msimu ulioisha wa 2023/2024.
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga wakitia saini hati ya makubaliano ya utekelezaji miradi CSR na mgodi wa WDL kiasi cha Tsh.1,000,000,000/= itakayotekeleza jumla
Dodoma. Serikali ya Tanzania na Jumuiya ya Wafanyabiashara (JWT) wamefikia makubaliano ya kumaliza mgomo wa wafanyabiashara uliokuwa ukiendelea nchini baada ya kuweka maazimio 15. Makubaliano