Habari Dk. Mpango ashiriki Harambee ya ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za CCM Mkoa wa Pwani June 30, 2024 Admin Dk. Mpango ashiriki Harambee ya ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za CCM Mkoa wa Pwani – Mtanzania Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani akijadiliana jambo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, katika Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, 2024 katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo, watu mbalimbali wakiwemo wa chama na Serikali walihudhuria. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani wa tano kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Pwani na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete wa sita kutoka kulia kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. – Advertisement – Related Posts Habari Serikali: Sampuli zilizochukuliwa hazijathibisha virusi vya Marburg January 15, 2025 Admin Habari DC Mgeni acharuka, atoa agizo kukamatwa waliowatia mimba wanafunzi January 15, 2025 Admin
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani akijadiliana jambo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, katika Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, 2024 katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo, watu mbalimbali wakiwemo wa chama na Serikali walihudhuria. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani wa tano kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Pwani na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete wa sita kutoka kulia kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. – Advertisement –