Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imesaini mkataba wa Sh346 bilioni na Benki ya Dunia (WB) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji
Month: June 2024
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limepiga marufuku kampuni binafsi za ulinzi zinazotumia silaha zilizotengenezwa kienyeji (Gobore), badala yake imeshauriwa kufuata utaratibu wa kisheria wa
Mbeya. Wananchi wa mitaa ya Mponzi, Sinde, Chaula na Makunguru jijini Mbeya wameendelea kusotea huduma ya maji kwa zaidi ya miezi miwili tangu kukatika kwake,
Dar es Salaam. Wakati mabalozi wanaowakilisha mataifa yao Tanzania wameomba kukutana na Serikali kujadili changamoto zinazowakabili wawekezaji wa kigeni, Serikali imesema imelichukua suala hilo kwa
Dar es Salaam. Wakati wapiga kura 197 wakitarajia kufanya uamuzi wa kikatiba kumchagua mwenyekiti mpya wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Kamati ya
Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo amekiri kwamba kuna uhaba wa wahadhiri nchini, hata hivyo amesema Serikali
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisoma Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2024, ambao umepitishwa na Bunge baada ya kujadiliwa
Iringa. Baada ya tathmini kuonyesha kaya 394,000 zimeweza kujimudu kiuchumi, Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) unatarajia kuziondoa katika mpango huo. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Wafanyabiashara wa mkoa wa Songwe katika masoko yaliyopo Tunduma wilayani Momba wameungana na wenzao wa mikoa mingine ikiwemo Kariakoo kufungua maduka baada ya serikari kuahidi
Geita. Washtakiwa wanne wanaodaiwa kumuua Milembe Suleman (43) kwa kumkata na kitu chenye ncha kali, wamejitetea wakieleza kutohusika na tukio hilo, wakiiomba mahakama iwaachie huru.