MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Bw.Bernard Konga (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF),Yaasin Juma,wakisaini
Month: June 2024
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekubali ombi la Mabalozi wa nchi mbalimbali walioomba kikao cha kujadili
NAIBU Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Dkt. Lorah Madete,akizungumza wakati akifungua Warsha ya Jukwaa la kitaifa ya kuimarisha utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu (SDGs)
Dar/Katavi. Familia ya Edgar Mwakabela, maarufu Sativa anayedaiwa kutoweka Juni 23 na kupatikana mkoani Katavi, imesema inasubiri ripoti ya madaktari kujua lini ataletwa Dar es
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema inatambua mchango wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) hususan katika hifadhi
Uteuzi wa von der Leyen ulikubaliwa siku ya Jumanne, lakini uamuzi rasmi ulichukuliwa kwenye mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels siku ya
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejiahakikishia ushindi katika chaguzi zijazo huku kikibainisha kuwa uchaguzi huru Chama cha Mapinduzi (CCM) hawatatoboa. Kauli
CHUO cha Furahika Education College kilicho chini ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi -VETA kimeongeza siku za dirisha la usajili kwaajili ya kudahili
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Makandarasi nchini kutekeleza miradi ya ujenzi kwa
Ripoti iliyoandaliwa kwa kutumia kipimo cha kuboresha tathmini ya usalama wa upatikanaji wa chakula na mchakato wa kupitisha maamuzi, Integrated Food Security Phase Classification, IPC