Rombo. Mamia ya waombolezaji kutoka ndani na nje ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wamefurika kwenye mazishi ya ndugu watatu kati ya wanne wa familia
Month: June 2024
Na Fauzia Mussa, 27/06/2024 Utowaji wa talaka kiholela kwa wanandoa imetajwa ni moja ya jambo linalochangia kwa asilimia kubwa kukithiri mporomoko wa maadili na kushamiri
KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Simba, Yanga, Azam na Singida FG aliyekuwa akikipiga Coastal Union, Ibrahim Ajibu amesaini mkataba wa miaka miwili na maafande wa
Arusha. Wananchi 20,000 wamehudumiwa katika kambi ya matibabu ya madaktari bingwa na wabobezi inayoendelea katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. Akizungumza leo Ijumaa
MKAKATI wa Kitaifa wa kupambana na matumizi ya zebaki umewasaidia maelfu ya wachimbaji wa dhahabu nchini kutambua matumizi salama ya zebaki na wengine kuachana nayo
Bukoba. Watu tisa wamefikishwa mahakamani wakishtakiwa kwa kosa la mauaji ya kukusudia ya Asimwe Novath (2), mtoto mwenye ualbino akiwamo Paroko Paroko Msaidizi Elipidius Rwegashora
COASTAL Union imeanza kusuka kikosi kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika, na tayari imemsainisha mkataba wa mkopo
Huu utakuwa mkutano wa tatu, ambao unaongozwa na Umoja wa Mataifa huko Doha, lakini ni mara ya kwanza kuhudhuriwa na Taliban, ambayo haitambuliwi kimataifa tangu
Moshi. Wakati raia watano wa Ethiopia waliokamatwa Juni 19,2024 wakisafirishwa uvunguni mwa lori la kusafirisha gesi wakifikishwa kortini na kukiri makosa yao, hatima ya lori
MIAMBA ya soka la Sudan, Al Hilal Omdurman imeizidi kete Simba katika mbio za kuwania saini ya kiungo, Serge Pokou aliyekuwa akihusishwa nao katika mpango