Morogoro. Mwili wa mtoto mchanga (Kichanga) umeokotwa leo juni 28, baada ya kutelekezwa daraja la Kasanga Msikitini, Barabara ya Kuu ya Morogoro Iringa Mtaa wa
Month: June 2024
NIMEMUONA Achraf Hakimi Mouh akizurura pale Arusha. Kuzurura? Hapana! Sio neno zuri hasa ukizingatia kwamba ametoa kiasi cha Sh1 bilioni kusaidia watoto wenye uhitaji katika
Kuna msemo kwamba Kenya ikipiga chafya Uganda hupata mafua. Hii ni kutokana na utegemazi mkubwa wa Uganda kwa Kenya kama njia ya kuingiza au kuuza
Bukoba. Kaya 49 zenye watu 147 zilizoathirika na mafuriko katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wamekumbukwa na Serikali kwa kupatiwa msaada wa vifaa na chakula.
Juu ya yote, washirika wa Joe Biden walimtaka kuonyesha uthabiti na nguvu kwenyejukwaa la mdahalo jana usiku, ili kusaidia kutuliza maswali kuhusu uwezo wa kimwili
Bukoba. Kaya 49 zenye watu 147 zilizoathirika na mafuriko katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wamekumbukwa na Serikali kwa kupatiwa msaada wa vifaa na chakula.
REKODI mpya imewekwa kwenye mchezo wa mpira wa kikapu duniani, na hii imetokea kwenye Ligi ya NBA, baada ya jana Ijumaa, Los Angeles Lakers kumtambulisha
Mahakama nchini Kenya imeidhinisha uamuzi wa kutuma jeshikuimarisha juhudi za polisi, huku maandamano ya kuupinga muswada wa fedha wenye utata ambao serikali imeahidi kuuondoa, yakiendelea.
Dodoma. Wakati baadhi ya wabunge wakihoji kuhusiana na ugawaji wa maeneo ya utawala, Serikali imesema kwa sasa kipaumbele kimewekwa katika uboreshaji wa miundombinu kwenye maeneo
MSHAMBULIAJI John Bocco anatarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa na JKT Tanzania na tayari amepiga picha za utambulisho na kaingiziwa pesa zake za usajili. Mwanaspoti