WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa mwaka 2023/2024 hadi kufikia Juni, 2024 jumla ya wanafunzi 224,056 wamepatiwa mikopo yenye jumla ya Sh 743.2 bilioni sawa
Month: June 2024
Akizungumza katika mahojiano na gazeti moja la nchini hapa mwishoni mwa wiki, kiongozi wa kundi la wabunge wa chama cha Christian Social Union, CSU Alexander
Dar es Salaam. Kabla ya Alhamisi jioni, Wamarekani wengi walikuwa wameelezea wasiwasi wao kuhusu umri wa Rais wao, Joe Biden na ubora wa afya yake
TAMASHA la ‘Simba Day’ mwaka huu litafanyika Agosti 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam badala ya Agosti 8 kama ambavyo imezoeleka
Arusha. Mahakama Kuu Kanda ya Geita imemuachia huru Baraka Shija, aliyekuwa ameshtakiwa kwa kosa la kumuua mkewe, Grace Daudi baada upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha
Kahama. Wakulima wa pamba sasa kunufaika na ongezeko la Sh170 kwa kila kilo baada ya kampuni ya inayonunua zao hilo kuongeza kiasi hicho tofauti na
Morogoro. Katika kuhakikisha utendaji unakwenda kwa kasi ya sayansi na teknolojia, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amemuagiza mkurugenzi wa halmashauri ya Gairo, Sharifa
Mwanza. Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kufunga kilele cha maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya jijini hapa,
Dar es Salaam. Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimewakamata watu 17 wakijaribu kuwafanyia mitihani wanafunzi wa chuo hicho. Waliokamatwa imeelezwa walikuwa na vitambulisho vya
Takriban watu bilioni 1.8 wamo katika hatari ya kukumbwa na magonjwa ya saratani, kiharusi, kisukari na kupoteza kumbukumbu kutokana nakutofanya mazoezi ya kutosha. Shirika la