Said ameeleza kwamba ,alikabiliwa na changamoto nyingi, kwani alikuwa akishikwa mara kwa mara na polisi , baadae familia iligundua kuwa kajiingiza kwenye matumizi hayo na
Month: June 2024
STRAIKA Adam Adam tayari ametua Azam FC kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano mbalimbali ya Ligi Kuu Bara, Ligi ya Mabingwa Afrika, Kombe la
Bukoba. Watuhumiwa tisa mauaji ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novath (2) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba leo Juni 28, 2024. Mei 30, 2024,
NA BALTAZAR MASHAKA,MWANZA SERIKALI imewaagiza waganga wakuu wa mikoa na wilaya kusimamia kwa karibu upatikanaji wa dawa kwa wananchi hasa wazee,wamekuwa wakisosa dawa muhimu wanapokwenda
28.06.202428 Juni 2024 Hali ya utulivu imeanza kurudi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi na maeneo mengine ya nchi hiyo kufuatia maandamano ya jana Alhamisi.
Dar es Salaam. Wafanyabiashara wa Kariakoo, jijini hapa wameendelea na shughuli zao baada ya kugoma kwa siku nne kuanzia Jumatatu Juni 24, 2024 huku wakidai
-Ni katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika Zanzibar CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kwa kushirikiana na Idara ya
Wagombea wanne ambao wote ni watiifu kwa kiongozi wa juu zaidi nchini humo wanakabiliana vikali kwenye uchaguzi huu. Kituo cha televisheni ya umma kilionyesha msururu
Katibu Tawala wa Wilaya ya Shinyanga Bw. Said Kitinga akifungua kikao cha kujadili utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kwa niaba
Dar es Salaam. Kampuni ya mtandao wa simu ya Airtel imejitosa kuunga mkono juhudi za Serikali ya matumizi ya teknolojia katika shughuli za kielimu kwa