Mmoja wa wanufaika wa huduma za Tiba kwa Waraibu wa Dawa za Kulevya kupitia kituo cha Huduma za Tiba kwa Waraibu wa Dawa za Kulevya
Month: June 2024
Dar es Salaam. Kutokana na baadhi ya vijana kuanza kujamiiana katika umri mdogo, imebainika wapo wanaopata saratani na hasa za kizazi na koo. Kwa mujibu
KATIKA kusuka kikosi kipya cha msimu ujao wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), Simba Queens imeachana na nyota wawili wa kigeni. Joanitha Ainembabazi Mabingwa hao
NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Dotto Biteko amesema vitendo vya mmomonyoko wa maadili vinavyotokea nchini ikiwamo mauaji ya watu wenye ualbino na mapenzi ya jinsia moja
Dar es Salaam. Kama ulikuwa na fikra kwamba ukinyonyesha mtoto matiti yako yatalala (kusinyaa), yafute mawazo hayo. Maziwa ya mama ndiyo chakula cha kwanza kwa
Mgeni Rasmi, Prof. James Mdoe (wa tatu kushoto akiwa ameketi), Mwenyekiti wa Baraza la Usimamizi la TEWW, Dkt. Naomi Katunzi (kulia kwake), Mkuu wa
Shirika la Masoko ya Kariakoo linatoa taarifa kwa umma kwamba kwa sasa hakuna vizimba au maeneo mengine ya biashara yaliyogawiwa au kuuzwa kwenye soko la
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania June 28, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post
Raisa Said,Tanga Kampeni ya miaka miwili iliyopewa jina la “Zima Ukatili, Washa Upendo” imezinduliwa jijini Tanga ili kukabiliana na ongezeko la matukio ya ukatili dhidi
KESHO Juni 29 hadi Julai 14 ilikuwa iwe muda wa kuchezwa mashindano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (Cecafa)