Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 2,2024 Featured • Magazeti About the author
Month: June 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam June 2, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti
Raisa Said,Tanga WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza halmashauri zote nchini, kuhakikisha kwenye maeneo yao zinaanzisha madawati ya sayansi,teknolojia na ubunifu, ili kuweza kukuza na kulea
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt.Dotto Biteko,akizungumza katika mkutano wa Teachers’ Breakfast Meeting uliowakutanisha walimu na maafisa elimu wa wilaya ya Dodoma Mjini
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Wazazi wa wanafunzi wa shule ya chekechea ya Busy Bees wamefurahishwa na vipaji vilivyooneshwa na watoto wao wakati waliposhindana katika
Babati. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimechukua na kinakwenda kufanyia kazi mapendekezo ya wanachama wake mkoani Manyara wanaotaka wagombea udiwani na ubunge kuchaguliwa na wanachama
Na Mwandishi wetu, Michuzi Tv GS1 Tanzania wazindua Barcodes Charity Wark kwa lengo la Kusaidia wanawake 100 kutoka kila Wilaya hadi kufikia Wanawake 18300 ili
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu ameanza ziara ya wiki tatu Mkoa wa Singida ambako atafanya mikutano ya hadhara katika kata
Mtafiti wa Udongo na Mbolea wa Kituo cha Serian Arusha Richard Temba akionesha Utafiti wa Mbolea unaotokana na taka ambazo baada ya uhifadhi zinazalisha minyoo
Geita. Watanzania wametakiwa kuacha kuendelea kuona mabadiliko ya tabia nchi kama changamoto badala yake waitumie kama fursa ya kiuchumi kwa kupanda miti na kuitunza ili