Na Ramadhan Hassan, Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko amewataka walimu wa shule za Msingi na Sekondari jijini Dodoma kumuunga
Month: June 2024
Johannesburg. Ni wazi kwamba Chama cha African National Congress (ANC) cha Afrika Kusini kimeporomoka kimvuto na ushawishi kwa wapigaa kura. Kwa mara ya kwanza tangu
MABOSI wa Simba wajanja sana. Kwa sasa wameamua kufanya mambo yao kimyakimya katika kuimarisha kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao ili kurudisha heshima mjini
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Wakati dunia ikisherehekea Siku ya Kimataifa ya Watoto, wito umetolewa kwa jamii kuheshimu haki za watoto na kuhakikisha wanalindwa wakati
Unguja. Wasimamizi wa jumuiya zinazohudumia kaya masikini na watoto yatima, wametakiwa kusimamia kikamilifu usajili wa kundi hilo katika Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF)
Raisa Said, Tanga Shirika la Viwango Tanzania (TBS ) limesisitiza wafanyabiashara kuzingatia bidhaa zao zimekidhi matakwa ya viwango kwani kwa wale wasiofuata taratibu hatua kali
Moshi. Maji yanayotoka chini ya ardhi katika makazi ya wananchi na baadhi ya maeneo ya biashara eneo la Ngangamfumuni, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, yameibua
Arusha. Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha, Joachimu Tiganga ameitaka Serikali kuishirikisha sekta binafsi na kuweka mazingira wezeshi ya kusaidia katika
Na Mwandishi Wetu, Mwanza WAZALISHAJI wa maziwa na bidhaa zake nchini wameshauriwa kuthibitisha ubora wa bidhaa hizo Shirika la Viwango Tanzania (TBS) hatua ambayo itawawezesha
Morogoro. Baada ya vuta nikuvute ya uchaguzi viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Morogoro mjini, hatimaye chama hicho kimepata viongozi wapya wa jimbo