Mwanza. Mungu hamtupi mja wake. Ndivyo unavyoweza kuelezea ushindi wa nafasi ya makamu mwenyekiti alioupata Mariam Mashibe baada ya kuanza kuwaombea wajumbe zaidi ya 300
Month: June 2024
Moshi. Mamia ya waombolezaji kutoka ndani na nje ya mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro wamefurika katika Parokia ya Bikira Maria Mtolewa Hekaluni, Katanini, Karanga kuuaga
Dar es Salaam. Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wametakiwa kutosubiri kuajiriwa serikalini au katika sekta binafsi, bali watafute namna ya kutumia ujuzi
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa (kushoto) mara baada ya kumkabidhi cheti Mhadhiri kutoka Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof. Emmanuel Mpolya
ILE vita iliyokuwapo katika Ligi Kuu Bara iliyomalizika mapema wiki hii katika mbio za Mfungaji Bora inajirudia tena Zanzibar katika fainali ya Kombe la Shirikisho
Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde amewataka walimu wa shule za Sekondari nchini kufundisha wanafunzi lugha ya
Dar es Salaam. Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, asasi mbalimbali za kiraia pamoja na vyombo vya habari nchini vimetakiwa kushirikiana kuhakikisha
Raisa Said,Tanga Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Husna Sekiboko leo tarehe 29 May 2024 ametekeleza agizo la Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania
MDOMO wazi? Kwamba? Vincent Kompany ni kocha mpya wa Bayern Munich? Kashangae vitu vingine. Hili halishangazi sana. Dunia inazunguka katika mhimili wake na wanadamu wapo
Vyama vya siasa nchini Afrika Kusini, vimeanza mazungumzo ya kujaribu kutengeneza muungano utakayowezesha kuunda Serikali ya mseto. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hatua hiyo