KOCHA Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo amefunguka hataki kurudia makosa ya msimu uliopita katika michuano ya kimataifa na kusema ndio sababu iliyomfanya awaite mapema
Month: June 2024
Iringa. Miili ya watu wanne wakiwemo watoto watatu waliofariki kwenye ajali ya bodaboda, imezikwa katika makaburi ya Karielo mjini Iringa huku waombolezaji wakigubikwa na huzuni
Na Munir Shemweta, MOROGORO Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda ametaka mradi wa ujenzi wa Chuo cha Ardhi Morogoro
ALIYEKUWA kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo msimu ujao baada ya kurudi timu ya zamani ya Azam
Afisa Usimamizi wa Fedha, kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava, akimkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya
Kaimu Naibu Kamishna wa Forodha wa TRA, Juma Hassan akizungumza wakati wa kuzindua mkutano na mawakala wa forodha pamoja na mawakala wa Ving’amuzi leo jijini
Mufindi. Ili kupunguza utoro na mimba kwa wanafunzi wa kike katika shule ya sekondari Ilongo iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Mufindi, Wakala wa Misitu
Dar es Salaam. Makali ya upungufu wa vivuko kati ya Magogoni na Kivukoni yanaendelea kuwatesa wananchi ambao licha ya kuonywa na mamlaka, wameendelea kuvushwa na
** Katika viwanja vya soko kuu Arusha siku ya Juni 28, 2024 kumeendeshwa zoezi la uchangiaji Damu salama kwa hiari. Zoezi hilo limeongozwa na mkuu
Dar es Salaam. Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imekiri kuwashikilia watu 17 wanaotuhumiwa kuwafanyia mitihani wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT),